Native Bible

Exodus 9:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ninajua kuwa wewe na maafisa wako bado hammwogopi Bwana Mungu.”

Exodus 9:30 in English

Exodus 9:30 · Berean Standard Bible

But as for you and your officials, I know that you still do not fear the LORD our God.”

Context

28Mwombeni Bwana, kwa kuwa tumepata ngurumo na mvua za mawe za kututosha. Nitawaachia mwondoke; hamtahitaji kungoja zaidi.” 29Mose akamjibu, “Nitakapokuwa nimetoka nje ya mji, nitanyoosha mikono yangu juu kumwomba Bwana. Ngurumo zitakoma na hapatakuwepo mvua ya mawe tena, ili upate kujua kuwa, nchi ni mali ya Bwana. 30Lakini ninajua kuwa wewe na maafisa wako bado hammwogopi Bwana Mungu.” 31(Kitani na shayiri viliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa katika kutoa maua. 32Hata hivyo, ngano na jamii nyingine ya ngano hazikuharibiwa kwa sababu zilikuwa hazijakomaa bado.)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.