Native Bible

Exodus 6:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Mose akamwambia Bwana, “Kwa kuwa mimi huzungumza kwa kigugumizi, Farao atanisikiliza mimi?”

Exodus 6:30 in English

Exodus 6:30 · Berean Standard Bible

But in the LORD’s presence Moses replied, “Since I am unskilled in speech, why would Pharaoh listen to me?”

Context

28Bwana aliponena na Mose huko Misri, 29akamwambia, “Mimi ndimi Bwana. Mwambie Farao mfalme wa Misri kila kitu nikuambiacho.” 30Lakini Mose akamwambia Bwana, “Kwa kuwa mimi huzungumza kwa kigugumizi, Farao atanisikiliza mimi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.