Native Bible

Exodus 4:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nao wakaamini. Nao waliposikia kuwa Bwana anajishughulisha nao, na kwamba ameona mateso yao, walisujudu na kuabudu.

Exodus 4:31 in English

Exodus 4:31 · Berean Standard Bible

and they believed. And when they heard that the LORD had attended to the Israelites and had seen their affliction, they bowed down and worshiped.

Context

29Mose na Aroni wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli, 30naye Aroni akawaambia kila kitu Bwana alichokuwa amemwambia Mose. Pia akafanya ishara mbele ya watu, 31nao wakaamini. Nao waliposikia kuwa Bwana anajishughulisha nao, na kwamba ameona mateso yao, walisujudu na kuabudu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.