Kutoka 39:27
Exodus 39:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia akamtengenezea Aroni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji,
Exodus 39:27 in English
Exodus 39:27 · Berean Standard Bible
For Aaron and his sons they made tunics of fine linen, the work of a weaver,
Context
25Kisha akatengeneza vikengele vya dhahabu safi na kuvishikamanisha kuzunguka pindo hilo kati ya hayo makomamanga. 26Hivyo vikengele na makomamanga vilipishana kuzunguka upindo wa joho ili livaliwe kwa kuhudumu, kama Bwana alivyomwagiza Mose. 27Pia akamtengenezea Aroni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji, 28na kilemba cha kitani safi, tepe za kichwani za kitani, na nguo za ndani za kitani iliyosokotwa vizuri. 29Mshipi ulikuwa wa kitani iliyosokotwa vizuri ya rangi ya buluu, na zambarau, na nyekundu, kazi ya mtarizi, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.