Kutoka 38:1
Exodus 38:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu;* nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano*
Exodus 38:1 in English
Exodus 38:1 · Berean Standard Bible
Bezalel constructed * the altar of burnt offering from acacia wood. It was square, five cubits long, five cubits wide, and three cubits high.*
Context
1Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu;* nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano* 2Akatengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu zikawa zimeungana, akafunika madhabahu kwa shaba. 3Akatengeneza vyombo vyake vyote kwa shaba: vyungu vyake vya kuondolea majivu, masepetu, mabakuli ya kunyunyizia, uma za nyama na vyombo vya kuchukulia moto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.