Native Bible

Exodus 37:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta* moja ya dhahabu safi.

Exodus 37:24 in English

Exodus 37:24 · Berean Standard Bible

He made the lampstand and all its utensils from a talent of pure gold.*

Context

22Matovu na matawi yote yalikuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakiwa yamefuliwa kwa dhahabu safi. 23Akatengeneza taa zake saba, na pia mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote kwa dhahabu safi. 24Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta* moja ya dhahabu safi. 25Akatengeneza madhabahu ya kufukizia uvumba kwa mbao za mshita. Ilikuwa ya mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, na kimo cha dhiraa mbili, nazo pembe zake zilikuwa kitu kimoja nayo. 26Akafunika hayo madhabahu juu na pande zote na pia zile pembe zake kwa dhahabu safi, na akayafanyizia ukingo wa dhahabu kuizunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.