Native Bible

Exodus 32:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu.

Exodus 32:9 in English

Exodus 32:9 · Berean Standard Bible

The LORD also said to Moses, “I have seen this people, and they are indeed a stiff-necked people.

Context

7Kisha Bwana akamwambia Mose, “Shuka, kwa sababu watu wako, uliowatoa Misri, wamepotoka. 8Wamekuwa wepesi kugeuka na kuacha niliyowaamuru, na wamejitengenezea sanamu ya kuyeyusha yenye umbo la ndama. Wameisujudia na kuitolea dhabihu, nao wamesema, ‘Hii ndiyo miungu yenu, ee Israeli iliyokupandisha kutoka Misri.’ ” 9Bwana akamwambia Mose, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu. 10Sasa niache ili hasira yangu ipate kuwaka dhidi yao, nami nipate kuwaangamiza. Kisha nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa.” 11Lakini Mose akamsihi Bwana Mungu wake, akasema, “Ee Bwana, kwa nini hasira yako iwake dhidi ya watu wako, wale uliowatoa Misri kwa uweza mkuu na mkono wenye nguvu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.