Native Bible

Exodus 29:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao.

Exodus 29:45 in English

Exodus 29:45 · Berean Standard Bible

Then I will dwell among the Israelites and be their God.

Context

43Huko ndipo nitakapokutana na Waisraeli, nalo Hema la Kukutania litatakaswa na utukufu wangu. 44“Kwa hiyo nitaliweka wakfu Hema la Kukutania pamoja na madhabahu, nami nitamweka wakfu Aroni na wanawe ili wanitumikie mimi katika kazi ya ukuhani. 45Ndipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao. 46Nao watajua kuwa Mimi Ndimi Bwana Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi Bwana Mungu wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.