Native Bible

Exodus 26:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Simamisha Hema sawasawa na mfano ulioonyeshwa kule mlimani.

Exodus 26:30 in English

Exodus 26:30 · Berean Standard Bible

So you are to set up the tabernacle according to the pattern shown you on the mountain.

Context

28Taruma la katikati litapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine. 29Funika hiyo mihimili kwa dhahabu, kisha tengeneza pete za dhahabu ambazo zitashikilia hayo mataruma. Pia funika hayo mataruma kwa dhahabu. 30“Simamisha Hema sawasawa na mfano ulioonyeshwa kule mlimani. 31“Tengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, naye fundi stadi atirizi makerubi kwenye hilo pazia. 32Litundike kwa kulabu za dhahabu kwenye nguzo nne za mti wa mshita ambazo zimefunikwa kwa dhahabu, zikiwa zimesimamishwa kwenye vitako vinne vya fedha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.