Native Bible

Exodus 25:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utaweka mikate ya Wonyesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.

Exodus 25:30 in English

Exodus 25:30 · Berean Standard Bible

And place the Bread of the Presence on the table before Me at all times.

Context

28Tengeneza mipiko hiyo kwa mbao za mshita, uifunike na dhahabu, uitumie kubeba hiyo meza. 29Tengeneza sahani zake na masinia yake kwa dhahabu safi, pamoja na bilauri na bakuli zake kwa ajili ya kumiminia sadaka. 30Utaweka mikate ya Wonyesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima. 31“Tengeneza kinara cha taa cha dhahabu safi iliyofuliwa vizuri katika kitako chake na ufito wake; vikombe vyake vinavyofanana na ua, matovu yake na maua yake viwe kitu kimoja. 32Matawi sita yatatokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.