Kutoka 24:18
Exodus 24:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Mose akaingia ndani ya lile wingu alivyokuwa akipanda mlimani. Naye akakaa huko mlimani kwa muda wa siku arobaini, usiku na mchana.
Exodus 24:18 in English
Exodus 24:18 · Berean Standard Bible
Moses entered the cloud as he went up on the mountain, and he remained on the mountain forty days and forty nights.
Context
16nao utukufu wa Bwana ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba Bwana akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu. 17Kwa Waisraeli utukufu wa Bwana ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima. 18Kisha Mose akaingia ndani ya lile wingu alivyokuwa akipanda mlimani. Naye akakaa huko mlimani kwa muda wa siku arobaini, usiku na mchana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.