Native Bible

Exodus 18:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Mose kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea

Exodus 18:2 in English

Exodus 18:2 · Berean Standard Bible

After Moses had sent back his wife Zipporah, his father-in-law Jethro had received her,

Context

1Basi Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, akawa amesikia kila kitu Mungu alichomfanyia Mose na watu wake wa Israeli, pia jinsi Bwana alivyowatoa Israeli Misri. 2Baada ya Mose kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea 3pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Mose alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.” 4Mwingine aliitwa Eliezeri, kwa kuwa alisema, “Mungu wa baba yangu alikuwa msaada wangu, akaniokoa kutoka upanga wa Farao.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.