Kutoka 14:1
Exodus 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Bwana akamwambia Mose,
Exodus 14:1 in English
Exodus 14:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
1Ndipo Bwana akamwambia Mose, 2“Waambie Waisraeli wageuke nyuma na wapige kambi karibu na Pi-Hahirothi, kati ya Migdoli na bahari. Watapiga kambi kando ya bahari, mkabala na Baal-Sefoni. 3Farao atafikiri kwamba, ‘Hao Waisraeli wanatangatanga katika nchi kwa kuchanganyikiwa, nalo jangwa limewafungia.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.