Native Bible

Exodus 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waambie watu wote waume kwa wake wawaombe majirani zao vitu vya fedha na vya dhahabu.”

Exodus 11:2 in English

Exodus 11:2 · Berean Standard Bible

Now announce to the people that men and women alike should ask their neighbors for articles of silver and gold.”

Context

1Basi Bwana alikuwa amemwambia Mose, “Nitaleta pigo moja zaidi kwa Farao na katika nchi ya Misri. Baada ya hilo, atawaacha mwondoke hapa na atakapofanya hivyo, atawafukuza mtoke kabisa. 2Waambie watu wote waume kwa wake wawaombe majirani zao vitu vya fedha na vya dhahabu.” 3(Bwana akawafanya Wamisri wawe na moyo wa ukarimu kwa Waisraeli, naye Mose mwenyewe akaheshimiwa sana na maafisa wa Farao na watu wote katika nchi ya Misri.) 4Kwa hiyo Mose akasema, “Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.