Native Bible

Esther 8:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana kwa Wayahudi ulikuwa wakati wa raha na furaha, shangwe na heshima.

Esther 8:16 in English

Esther 8:16 · Berean Standard Bible

For the Jews it was a time of light and gladness, of joy and honor.

Context

14Matarishi, wakiwa wamepanda farasi wa kifalme, walitoka mbio wakichochewa na agizo la mfalme. Tangazo lilitolewa pia katika ngome ya mji wa Shushani. 15Mordekai akaondoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme ya buluu na nyeupe, taji kubwa la dhahabu na joho la zambarau la kitani safi. Na mji wa Shushani ukasherehekea kwa furaha. 16Kwa maana kwa Wayahudi ulikuwa wakati wa raha na furaha, shangwe na heshima. 17Katika kila jimbo na katika kila jiji, popote waraka wa mfalme ulipofika, kulikuwepo furaha na shangwe miongoni mwa Wayahudi, pamoja na karamu na kushangilia. Na watu wengi wa mataifa mengine wakajifanya Wayahudi kwa sababu ya kuwahofu Wayahudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.