Native Bible

Ephesians 6:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.

Ephesians 6:24 in English

Ephesians 6:24 · Berean Standard Bible

Grace to all who love our Lord Jesus Christ with an undying love.

Context

22Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo. 23Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo. 24Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.