Native Bible

Ephesians 1:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.

Ephesians 1:23 in English

Ephesians 1:23 · Berean Standard Bible

which is His body, the fullness of Him who fills all in all.

Context

21juu sana kuliko falme zote na mamlaka, enzi na milki, na juu ya kila jina litajwalo, si katika ulimwengu huu tu, bali katika ule ujao pia. 22Naye Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya miguu yake na amemfanya yeye awe kichwa cha vitu vyote kwa ajili ya Kanisa, 23ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.