Mhubiri 10:19
Ecclesiastes 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, nao mvinyo hufurahisha maisha, lakini fedha ni jawabu la mambo yote.
Ecclesiastes 10:19 in English
Ecclesiastes 10:19 · Berean Standard Bible
A feast is prepared for laughter, and wine makes life merry, but money is the answer for everything.
Context
17Heri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika
na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa:
ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi. 18Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama,
kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja. 19Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,
nao mvinyo hufurahisha maisha,
lakini fedha ni jawabu la mambo yote. 20Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako,
au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala,
kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako,
naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.