Kumbukumbu 5:30
Deuteronomy 5:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nenda uwaambie warudi kwenye mahema yao.
Deuteronomy 5:30 in English
Deuteronomy 5:30 · Berean Standard Bible
Go and tell them: ‘Return to your tents.’
Context
28Bwana aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na Bwana akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri. 29Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili kwamba wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele! 30“Nenda uwaambie warudi kwenye mahema yao. 31Lakini wewe baki hapa pamoja nami ili niweze kukupa maagizo yote, amri na sheria ambazo utawafundisha wazifuate katika nchi ninayokwenda kuwapa waimiliki.” 32Hivyo kuweni waangalifu kuyafanya yale Bwana Mungu wenu aliyowaagiza; msigeuke upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.