Kumbukumbu 5:17
Deuteronomy 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiue.
Deuteronomy 5:17 in English
Deuteronomy 5:17 · Berean Standard Bible
You shall not murder.*
Context
15Kumbuka mlikuwa watumwa huko Misri, na Bwana Mungu wenu aliwatoa huko kwa mkono wenye nguvu na kwa mkono ulionyooshwa. Kwa hiyo Bwana Mungu wako amekuagiza kuiadhimisha siku ya Sabato. 16Waheshimu baba yako na mama yako, kama Bwana Mungu wako alivyokuagiza, ili siku zako zipate kuwa nyingi na kufanikiwa katika nchi Bwana Mungu wako anayokupa. 17Usiue. 18Usizini. 19Usiibe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.