Kumbukumbu 24:22
Deuteronomy 24:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kumbuka kwamba mlikuwa watumwa katika nchi ya Misri. Ndiyo sababu ninawaamuru kufanya hili.
Deuteronomy 24:22 in English
Deuteronomy 24:22 · Berean Standard Bible
Remember that you were slaves in the land of Egypt. Therefore I am commanding you to do this.
Context
20Unapovuna zeituni kutoka miti yako, usirudie matawi mara ya pili. Acha kilichobaki kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane. 21Unapochuma zabibu katika shamba lako la mizabibu usirudie tena. Acha zinazobaki kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane. 22Kumbuka kwamba mlikuwa watumwa katika nchi ya Misri. Ndiyo sababu ninawaamuru kufanya hili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.