Kumbukumbu 22:18
Deuteronomy 22:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nao wazee watamchukua huyo mwanaume na kumwadhibu.
Deuteronomy 22:18 in English
Deuteronomy 22:18 · Berean Standard Bible
Then the elders of that city shall take the man and punish him.
Context
16Baba wa msichana atawaambia wazee, “Nilimwoza binti yangu kwa huyu mwanaume, lakini hampendi. 17Sasa amemsingizia na kusema, ‘Sikumkuta huyu binti akiwa bikira.’ Lakini hapa kuna uthibitisho wa ubikira wa binti yangu.” Kisha wazazi wake wataonyesha nguo zake kwa wazee wa mji, 18nao wazee watamchukua huyo mwanaume na kumwadhibu. 19Watamtoza shekeli mia moja* za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake. 20Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho juu ya ubikira wa huyo msichana ulioweza kupatikana,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.