Kumbukumbu 14:1
Deuteronomy 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi ni watoto wa Bwana Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa,
Deuteronomy 14:1 in English
Deuteronomy 14:1 · Berean Standard Bible
You are sons of the LORD your God; do not cut yourselves or shave your foreheads on behalf of the dead,
Context
1Ninyi ni watoto wa Bwana Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa, 2kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake. 3Msile kitu chochote ambacho ni machukizo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.