Kumbukumbu 11:1
Deuteronomy 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mpende Bwana Mungu wako na kushika masharti yake, amri zake, sheria zake na maagizo yake siku zote.
Deuteronomy 11:1 in English
Deuteronomy 11:1 · Berean Standard Bible
You shall therefore love the LORD your God and always keep His charge, His statutes, His ordinances, and His commandments.
Context
1Mpende Bwana Mungu wako na kushika masharti yake, amri zake, sheria zake na maagizo yake siku zote. 2Kumbuka hivi leo kwamba sio watoto wako walioona na kujua adhabu ya Bwana Mungu wako: utukufu wake, mkono wake wenye nguvu, mkono wake ulionyooshwa; 3ishara alizozifanya na mambo aliyoyafanya katikati ya Misri, kwa Farao mfalme wa Misri na kwa nchi yake yote;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.