Danieli 6:1
Daniel 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote,
Daniel 6:1 in English
Daniel 6:1 · Berean Standard Bible
Now it pleased Darius to appoint 120 satraps to rule throughout the kingdom,
Context
1Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote, 2pamoja na wasimamizi watatu juu yao, ambao mmoja wao alikuwa Danieli. Wakuu walitoa hesabu kwa hao wasimamizi ili mfalme asipate hasara. 3Basi Danieli alijidhihirisha, miongoni mwa wasimamizi na wakuu kwa sifa zake za kipekee hata mfalme akapanga kumweka juu ya ufalme wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.