Danieli 4:2
Daniel 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia.
Daniel 4:2 in English
Daniel 4:2 · Berean Standard Bible
I am pleased to declare the signs and wonders that the Most High God has performed for me.
Context
1Mfalme Nebukadneza,
Kwa kabila za watu, mataifa na watu wa kila lugha, wanaoishi katika ulimwengu wote:
Mafanikio yawe kwenu sana! 2Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia. 3Ishara zake ni kuu aje,
na maajabu yake yana nguvu aje!
Ufalme wake ni ufalme wa milele;
enzi yake hudumu kutoka kizazi hadi kizazi. 4Mimi, Nebukadneza, nilikuwa nyumbani katika jumba langu la kifalme, nikiwa ninaishi kwa raha na hali ya kufanikiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.