Native Bible

Daniel 12:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini wewe, enenda zako mpaka mwisho. Utapumzika, nawe ndipo mwisho wa hizo siku utafufuka ili kuupokea urithi uliowekewa.”

Daniel 12:13 in English

Daniel 12:13 · Berean Standard Bible

But as for you, go on your way until the end. You will rest, and will arise to your inheritance at the end of the days.”

Context

11“Tangu wakati ule wa kukomeshwa dhabihu ya kila siku na kusimamishwa kwa chukizo la uharibifu, kutakuwako siku 1,290. 12Amebarikiwa mtu yule atakayevumilia hadi kufikia mwisho wa hizo siku 1,335. 13“Lakini wewe, enenda zako mpaka mwisho. Utapumzika, nawe ndipo mwisho wa hizo siku utafufuka ili kuupokea urithi uliowekewa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.