Wakolosai 1:19
Colossians 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,
Colossians 1:19 in English
Colossians 1:19 · Berean Standard Bible
For God was pleased to have all His fullness dwell in Him,
Context
17Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja. 18Yeye ndiye kichwa cha mwili, yaani kanisa, naye ndiye mwanzo na mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, ili yeye awe mkuu katika vitu vyote. 19Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake, 20na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani. 21Hapo kwanza mlikuwa mmetengana na Mungu, na mlikuwa adui zake katika nia zenu kwa sababu ya mienendo yenu mibaya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.