Wakolosai 1:14
Colossians 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambaye katika yeye tunao ukombozi, yaani msamaha wa dhambi.
Colossians 1:14 in English
Colossians 1:14 · Berean Standard Bible
in whom we have redemption,* the forgiveness of sins.
Context
12mkimshukuru Baba, ambaye amewastahilisha kushiriki katika urithi wa watakatifu katika ufalme wa nuru. 13Kwa maana ametuokoa kutoka ufalme wa giza na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa, 14ambaye katika yeye tunao ukombozi, yaani msamaha wa dhambi. 15Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. 16Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.