Matendo 9:16
Acts 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.”
Acts 9:16 in English
Acts 9:16 · Berean Standard Bible
I will show him how much he must suffer for My name.”
Context
14Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.” 15Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda! Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua, apate kulichukua Jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli. 16Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.” 17Kisha Anania akaenda kwenye ile nyumba, akaingia ndani. Akaweka mikono yake juu ya Sauli akasema, “Ndugu Sauli, Bwana Yesu aliyekutokea njiani amenituma kwako ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu.” 18Ghafula vitu kama magamba vikaanguka chini, kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.