Matendo 9:12
Acts 9:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika maono amemwona mtu aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili apate kuona tena.”
Acts 9:12 in English
Acts 9:12 · Berean Standard Bible
In a vision he has seen a man named Ananias come and place his hands on him to restore his sight.”
Context
10Huko Dameski alikuwepo mwanafunzi mmoja jina lake Anania. Bwana alimwita katika maono, “Anania!”
Akajibu, “Mimi hapa Bwana.” 11Bwana akamwambia, “Ondoka uende katika barabara iitwayo Nyofu ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu kutoka Tarso, jina lake Sauli, kwa maana wakati huu anaomba, 12katika maono amemwona mtu aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili apate kuona tena.” 13Anania akajibu, “Bwana, nimesikia kutoka kwa watu wengi habari nyingi kuhusu mtu huyu na madhara yote aliyowatendea watakatifu wako huko Yerusalemu. 14Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.