Native Bible

Acts 8:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.”

Acts 8:23 in English

Acts 8:23 · Berean Standard Bible

For I see that you are poisoned by bitterness and captive to iniquity.”

Context

21Wewe huna sehemu wala fungu katika huduma hii kwa kuwa moyo wako si mnyofu mbele za Mungu. 22Kwa hiyo tubu kwa uovu huu wako na umwombe Bwana. Yamkini aweza kukusamehe mawazo uliyo nayo moyoni mwako. 23Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.” 24Ndipo Simoni akajibu, “Niombeeni kwa Bwana, ili hayo mliyosema lolote yasinitukie.” 25Nao walipokwisha kutoa ushuhuda na kuhubiri neno la Bwana, wakarudi Yerusalemu wakihubiri Injili katika vijiji vingi vya Samaria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.