Native Bible

Acts 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja.

Acts 5:1 in English

Acts 5:1 · Berean Standard Bible

Now a man named Ananias, together with his wife Sapphira, also sold a piece of property.

Context

1Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja. 2Huku mkewe akijua kikamilifu, Anania alificha sehemu ya fedha alizopata, akaleta kiasi kilichobaki na kukiweka miguuni pa mitume. 3Petro akamuuliza, “Anania, mbona Shetani ameujaza moyo wako ili kumwambia uongo Roho Mtakatifu, ukaficha sehemu ya fedha ulizopata kutokana na kiwanja?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.