Matendo 26:2
Acts 26:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mfalme Agripa, najiona kuwa na heri kusimama mbele yako leo ninapojitetea kuhusu mashtaka yote ya Wayahudi,
Acts 26:2 in English
Acts 26:2 · Berean Standard Bible
“King Agrippa, I consider myself fortunate to stand before you today to defend myself against all the accusations of the Jews,
Context
1Ndipo Agripa akamwambia Paulo, “Unayo ruhusa kujitetea.”
Hivyo Paulo akawaashiria kwa mkono wake, akaanza kujitetea, akasema: 2“Mfalme Agripa, najiona kuwa na heri kusimama mbele yako leo ninapojitetea kuhusu mashtaka yote ya Wayahudi, 3hasa kwa sababu unajua vyema desturi zote za Kiyahudi na ya kuwa wewe unajua kwa undani mila na masuala ya mabishano. Kwa hiyo, nakusihi unisikilize kwa uvumilivu. 4“Wayahudi wote wanajua jinsi nilivyoishi tangu nilipokuwa mtoto, kuanzia mwanzo wa maisha yangu katika nchi yangu na pia huko Yerusalemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.