Matendo 22:1
Acts 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ndugu zangu na baba zangu, sikilizeni utetezi wangu.”
Acts 22:1 in English
Acts 22:1 · Berean Standard Bible
“Brothers and fathers, listen now to my defense before you.”
Context
1“Ndugu zangu na baba zangu, sikilizeni utetezi wangu.” 2Waliposikia akisema kwa lugha ya Kiebrania, wakanyamaza kimya kabisa.
Ndipo Paulo akasema, 3“Mimi ni Myahudi, niliyezaliwa Tarso huko Kilikia, lakini nimelelewa katika mji huu. Miguuni mwa Gamalieli, nilifundishwa kikamilifu katika sheria ya baba zetu, na nikawa mwenye juhudi kwa ajili ya Mungu kama kila mmoja wenu alivyo leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.