Native Bible

Acts 19:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo neno la Bwana likaenea sana na kuwa na nguvu.

Acts 19:20 in English

Acts 19:20 · Berean Standard Bible

So the word of the Lord powerfully continued to spread and prevail.

Context

18Wengi wa wale waliokuwa wameamini wakati huu wakaja na kutubu waziwazi kuhusu matendo yao maovu. 19Idadi kubwa ya wale waliofanya mambo ya uganga wakaleta vitabu vyao na kuviteketeza kwa moto hadharani. Walipofanya hesabu ya thamani ya vitabu vilivyoteketezwa ilikuwa drakma 50,000* za fedha. 20Hivyo neno la Bwana likaenea sana na kuwa na nguvu. 21Baada ya mambo haya kutukia, Paulo akakusudia rohoni kwenda Yerusalemu kupitia Makedonia na Akaya. Akasema, “Baada ya kufika huko, yanipasa pia kwenda Rumi.” 22Hivyo akatuma wasaidizi wake wawili, Timotheo na Erasto, waende Makedonia, wakati yeye mwenyewe alibaki kwa muda kidogo huko Asia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.