Matendo 14:7
Acts 14:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huko wakaendelea kuhubiri habari njema.
Acts 14:7 in English
Acts 14:7 · Berean Standard Bible
where they continued to preach the gospel.
Context
5Watu wa Mataifa na Wayahudi wakajiunga na baadhi ya viongozi, wakafanya mpango wa kuwatendea mitume mabaya na kuwapiga mawe. 6Lakini mitume walipopata habari hizi wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia na sehemu zilizopakana nayo. 7Huko wakaendelea kuhubiri habari njema. 8Katika mji wa Listra, alikuwako kiwete, ambaye alikuwa amelemaa tangu kuzaliwa na hakuwa ametembea kamwe. 9Alimsikiliza Paulo alipokuwa akihubiri. Paulo alipomtazama akaona ana imani ya kuponywa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.