2 Wathesalonike 3:1
2 Thessalonians 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili Neno la Bwana lipate kuenea kwa haraka na kuheshimiwa kila mahali, kama vile ilivyokuwa kwenu.
2 Thessalonians 3:1 in English
2 Thessalonians 3:1 · Berean Standard Bible
Finally, brothers, pray for us, that the word of the Lord may spread quickly and be held in honor, just as it was with you.
Context
1Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili Neno la Bwana lipate kuenea kwa haraka na kuheshimiwa kila mahali, kama vile ilivyokuwa kwenu. 2Ombeni pia ili tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si wote wanaoamini. 3Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutokana na yule mwovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.