Native Bible

2 Thessalonians 2:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

awafariji mioyo yenu na kuwaimarisha katika kila neno na tendo jema.

2 Thessalonians 2:17 in English

2 Thessalonians 2:17 · Berean Standard Bible

encourage your hearts and strengthen you in every good word and deed.

Context

15Hivyo basi, ndugu wapendwa, simameni imara na myashike sana yale mafundisho tuliyowapa ikiwa ni kwa maneno ya kinywa au kwa barua. 16Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe na Mungu Baba yetu, aliyetupenda na kwa neema yake akatupatia faraja ya milele na tumaini jema, 17awafariji mioyo yenu na kuwaimarisha katika kila neno na tendo jema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.