2 Samweli 7:4
2 Samuel 7:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiku ule neno la Bwana likamjia Nathani, kusema:
2 Samuel 7:4 in English
2 Samuel 7:4 · Berean Standard Bible
But that night the word of the LORD came to Nathan, saying,
Context
2akamwambia nabii Nathani, “Mimi hapa, ninaishi katika jumba la kifalme la mierezi, wakati Sanduku la Mungu limebaki katika hema.” 3Nathani akamjibu mfalme, “Lolote ulilo nalo moyoni, endelea ukalifanye, kwa maana Bwana yu pamoja nawe.” 4Usiku ule neno la Bwana likamjia Nathani, kusema: 5“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake? 6Sijakaa ndani ya nyumba tangu siku niliyowaleta Waisraeli kutoka Misri hadi leo. Nimekuwa nikitembea kutoka mahali pamoja hadi mahali pengine ndani ya hema kama makao yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.