2 Samweli 19:1
2 Samuel 19:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”
2 Samuel 19:1 in English
2 Samuel 19:1 · Berean Standard Bible
Then it was reported to Joab, “The king is weeping and mourning over Absalom.”
Context
1Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.” 2Kwa jeshi lote, ushindi wa siku ile ukageuka kuwa maombolezo, kwa sababu siku ile vikosi vilisikia ikisemwa, “Mfalme anahuzunika kwa ajili ya mwanawe.” 3Siku ile watu wakaingia mjini kimya kama vile waingiavyo kwa aibu watu waliokimbia kutoka vitani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.