2 Wafalme 7:1
2 Kings 7:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Elisha akasema, “Sikiliza neno la Bwana. Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja* cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha,* na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria.”
2 Kings 7:1 in English
2 Kings 7:1 · Berean Standard Bible
Then Elisha said, “Hear the word of the LORD! This is what the LORD says: ‘About this time tomorrow at the gate of Samaria, a seah of fine flour * will sell for a shekel,* and two seahs of barley * will sell for a shekel.’”
Context
1Elisha akasema, “Sikiliza neno la Bwana. Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja* cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha,* na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria.” 2Yule afisa ambaye mfalme alikuwa anauegemea mkono wake akamwambia yule mtu wa Mungu, “Tazama, hata kama Bwana atafungua madirisha ya mbinguni, je, jambo hili litawezekana?”
Elisha akajibu, “Utaona kwa macho yako mwenyewe, lakini wewe hutakula chochote kati ya hivyo!” 3Basi kulikuwepo na watu wanne wenye ukoma katika ingilio la lango la mji. Wakaambiana, “Kwa nini tukae hapa mpaka tufe?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.