2 Wafalme 4:24
2 Kings 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akatandika punda na kumwambia mtumishi wake, “Mwongoze huyo punda. Usinipunguzie mwendo mpaka nikuambie.”
2 Kings 4:24 in English
2 Kings 4:24 · Berean Standard Bible
Then she saddled the donkey and told her servant, “Drive onward; do not slow the pace for me unless I tell you.”
Context
22Akamwita mume wake na kusema, “Tafadhali mtume mmoja miongoni mwa mtumishi pamoja na punda ili niweze kwenda kwa mtu wa Mungu haraka na kurudi.” 23Mume wake akamuuliza, “Kwa nini uende kwake leo? Leo si mwandamo wa mwezi, wala si Sabato.”
Mwanamke akasema, “Yote ni sawa.” 24Akatandika punda na kumwambia mtumishi wake, “Mwongoze huyo punda. Usinipunguzie mwendo mpaka nikuambie.” 25Kwa hiyo akaenda na kumfikia huyo mtu wa Mungu katika Mlima Karmeli.
Alipomwona kwa mbali, huyo mtu wa Mungu akamwambia mtumishi wake Gehazi, “Tazama, yule Mshunami! 26Kimbia ukamlaki, umuulize, ‘Je, wewe hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto wako ni mzima?’ ”
Akasema, “Kila kitu ni sawasawa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.