2 Wafalme 23:37
2 Kings 23:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye akafanya maovu machoni mwa Bwana, kama baba zake walivyokuwa wamefanya.
2 Kings 23:37 in English
2 Kings 23:37 · Berean Standard Bible
And he did evil in the sight of the LORD, just as his fathers had done.
Context
35Yehoyakimu akamlipa Farao Neko ile fedha na dhahabu aliyodai. Ili kuweza kufanya hivyo, Yehoyakimu akatoza nchi kodi na kulipiza fedha na dhahabu kutoka kwa watu wa nchi kulingana na makadrio ya mapato yao. 36Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Zebida binti Pedaya kutoka Ruma. 37Naye akafanya maovu machoni mwa Bwana, kama baba zake walivyokuwa wamefanya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.