2 Wafalme 11:21
2 Kings 11:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.
2 Kings 11:21 in English
2 Kings 11:21 · Berean Standard Bible
Joash * was seven years old when he became king.
Context
19Pamoja naye akawachukua majemadari wa mamia, Wakari, walinzi na watu wote wa nchi, nao kwa pamoja wakamteremsha mfalme kutoka Hekalu la Bwana na kwenda kwenye jumba la mfalme, wakiingilia njia ya lango la walinzi. Ndipo mfalme akachukua nafasi yake kwenye kiti cha enzi, 20nao watu wote wa nchi wakafurahi. Mji ukatulia, kwa sababu Athalia alikuwa ameuawa kwa upanga nyumbani kwa mfalme. 21Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.