2 Wakorintho 9:15
2 Corinthians 9:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ashukuriwe Mungu kwa karama yake isiyoelezeka.
2 Corinthians 9:15 in English
2 Corinthians 9:15 · Berean Standard Bible
Thanks be to God for His indescribable gift!
Context
13Kwa sababu ya huduma ambayo mmejithibitisha wenyewe, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utiifu ufuatanao na ukiri wenu wa Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu wa kushiriki pamoja nao na pia wengine wote. 14Nao katika maombi yao kwenu mioyo yao itawaonea shauku kwa sababu ya neema ipitayo kiasi mliyopewa na Mungu. 15Ashukuriwe Mungu kwa karama yake isiyoelezeka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.