Native Bible

2 Corinthians 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana twaenenda kwa imani wala si kwa kuona.

2 Corinthians 5:7 in English

2 Corinthians 5:7 · Berean Standard Bible

For we walk by faith, not by sight.

Context

5Basi Mungu ndiye alitufanya kwa ajili ya jambo lilo hilo naye ametupa Roho Mtakatifu kuwa amana, akituhakikishia ahadi ya kile kijacho. 6Kwa hiyo siku zote tunalo tumaini, hata ingawa tunajua kwamba wakati tukiwa katika mwili huu, tuko mbali na Bwana, 7kwa maana twaenenda kwa imani wala si kwa kuona. 8Naam, tunalo tumaini na ingekuwa bora zaidi kuuacha mwili huu na kwenda kukaa na Bwana. 9Kwa hiyo, kama tuko katika mwili huu au tuko mbali nao, lengo letu ni kumpendeza Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.