2 Nyakati 8:17
2 Chronicles 8:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Solomoni akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.
2 Chronicles 8:17 in English
2 Chronicles 8:17 · Berean Standard Bible
Then Solomon went to Ezion-geber and to Eloth * on the coast of Edom.*
Context
15Nao hawakuziacha amri za mfalme alizoamuru makuhani au Walawi katika jambo lolote, ikiwa ni pamoja na zile za hazina. 16Kazi yote ya Mfalme Solomoni ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la Bwana ulipowekwa mpaka kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la Bwana likamalizika kujengwa. 17Ndipo Solomoni akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu. 18Naye Hiramu alimpelekea meli zilizoongozwa na maafisa wake mwenyewe, watu waliokuwa na ujuzi wa baharini. Hawa watu pamoja na wale wa Solomoni wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri, wakaleta kutoka huko talanta 450 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.