2 Nyakati 36:1
2 Chronicles 36:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu.
2 Chronicles 36:1 in English
2 Chronicles 36:1 · Berean Standard Bible
Then the people of the land took Jehoahaz son of Josiah and made him king in Jerusalem in place of his father.
Context
1Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu. 2Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. 3Mfalme wa Misri akamwondoa madarakani huko Yerusalemu na akatoza Yuda kodi ya talanta 100* za fedha na talanta moja* ya dhahabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.