Native Bible

2 Chronicles 33:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.

2 Chronicles 33:10 in English

2 Chronicles 33:10 · Berean Standard Bible

And the LORD spoke to Manasseh and his people, but they did not listen.

Context

8Sitaifanya tena miguu ya Waisraeli iondoke tena katika nchi niliyowapa baba zenu, ikiwa watakuwa waangalifu kufanya kila kitu nilichowaamuru kuhusu sheria zote, maagizo na amri zilizotolewa kwa mkono wa Mose.” 9Lakini Manase akawaongoza Yuda na watu wa Yerusalemu katika upotovu, kiasi kwamba walifanya maovu mengi kuliko mataifa ambayo Bwana aliwaangamiza mbele ya Waisraeli. 10Bwana akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali. 11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli. 12Katika dhiki yake akamsihi Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.